23يَتَنازَعونَ فيها كَأسًا لا لَغوٌ فيها وَلا تَأثيمٌ Watapeana humo bilauri zisio na vinywaji vya kuleta maneno ya upuuzi wala dhambi.