86وَأَدخَلناهُم في رَحمَتِنا ۖ إِنَّهُم مِنَ الصّالِحينَ Na tukawaingiza katika rehema yetu. Hakika wao walikuwa katika watu wema.