51وَلَقَد أَهلَكنا أَشياعَكُم فَهَل مِن مُدَّكِرٍ Na bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu. Lakini yupo anaye kumbuka?