12وَفَجَّرنَا الأَرضَ عُيونًا فَالتَقَى الماءُ عَلىٰ أَمرٍ قَد قُدِرَ Na tukazipasua ardhi kwa chemchem, yakakutana maji kwa jambo lilio kadiriwa.