30أَم يَقولونَ شاعِرٌ نَتَرَبَّصُ بِهِ رَيبَ المَنونِ Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia kupatilizwa na dahari.