57فَيَومَئِذٍ لا يَنفَعُ الَّذينَ ظَلَموا مَعذِرَتُهُم وَلا هُم يُستَعتَبونَ Basi Siku hiyo hautawafaa walio dhulumu udhuru wao, wala haitotakiwa toba yao.