99وَأُتبِعوا في هٰذِهِ لَعنَةً وَيَومَ القِيامَةِ ۚ بِئسَ الرِّفدُ المَرفودُ Nao wamefuatishiwa laana hapa duniani na Siku ya Kiyama. Ni mabaya yalioje watakayo pewa!