100ذٰلِكَ مِن أَنباءِ القُرىٰ نَقُصُّهُ عَلَيكَ ۖ مِنها قائِمٌ وَحَصيدٌ Hizi ni katika khabari za miji, tunakusimulia. Mingine ipo bado na mingine imefyekwa.