22خالِدينَ فيها أَبَدًا ۚ إِنَّ اللَّهَ عِندَهُ أَجرٌ عَظيمٌ Watadumu humo milele. Hakika kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo makubwa.