25إِلَّا الَّذينَ آمَنوا وَعَمِلُوا الصّالِحاتِ لَهُم أَجرٌ غَيرُ مَمنونٍ Isipo kuwa wale walio amini na wakatenda mema; hao watakuwa na ujira usio malizika.