5قالَ رَبِّ إِنّي دَعَوتُ قَومي لَيلًا وَنَهارًا Akasema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimewaita watu wangu usiku na mchana,