12وَيُمدِدكُم بِأَموالٍ وَبَنينَ وَيَجعَل لَكُم جَنّاتٍ وَيَجعَل لَكُم أَنهارًا Na atakupeni mali na wana, na atakupeni mabustani na atakufanyieni mito.