10فَقُلتُ استَغفِروا رَبَّكُم إِنَّهُ كانَ غَفّارًا Nikasema: Ombeni msamaha kwa Mola wenu Mlezi; hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe.