181وَمِمَّن خَلَقنا أُمَّةٌ يَهدونَ بِالحَقِّ وَبِهِ يَعدِلونَ Na katika tulio waumba wako watu wanao ongoza kwa Haki, na kwayo wanafanya uadilifu.