39أَم لَكُم أَيمانٌ عَلَينا بالِغَةٌ إِلىٰ يَومِ القِيامَةِ ۙ إِنَّ لَكُم لَما تَحكُمونَ Au mnazo ahadi za viapo juu yetu za kufika Siku ya Kiyama ya kuwa hakika mtapata kila mnayo jihukumia?