72وَأَن أَقيمُوا الصَّلاةَ وَاتَّقوهُ ۚ وَهُوَ الَّذي إِلَيهِ تُحشَرونَ Na mshike Sala, na mcheni Yeye, na kwake Yeye ndiko mtako kusanywa.