21كَتَبَ اللَّهُ لَأَغلِبَنَّ أَنا وَرُسُلي ۚ إِنَّ اللَّهَ قَوِيٌّ عَزيزٌ Mwenyezi Mungu ameandika: Hapana shaka Mimi na Mtume wangu tutashinda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kushinda.