19استَحوَذَ عَلَيهِمُ الشَّيطانُ فَأَنساهُم ذِكرَ اللَّهِ ۚ أُولٰئِكَ حِزبُ الشَّيطانِ ۚ أَلا إِنَّ حِزبَ الشَّيطانِ هُمُ الخاسِرونَ Shetani amewatawala na akawasahaulisha kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Hao ndio kundi la Shetani. Kweli hakika kundi la Shetani ndilo lenye kukhasirika.