39أَم لَهُ البَناتُ وَلَكُمُ البَنونَ Au Yeye Mwenyezi Mungu ana wasichana, na nyinyi ndio mna wavulana?