42ما تَذَرُ مِن شَيءٍ أَتَت عَلَيهِ إِلّا جَعَلَتهُ كَالرَّميمِ Haukuacha chochote ulicho kifikia ila ulikifanya kama kilio nyambuka.