25إِذ دَخَلوا عَلَيهِ فَقالوا سَلامًا ۖ قالَ سَلامٌ قَومٌ مُنكَرونَ Walipo ingia kwake wakasema: Salama! Na yeye akasema: Salama! Nyinyi ni watu nisio kujueni.