26الَّذي جَعَلَ مَعَ اللَّهِ إِلٰهًا آخَرَ فَأَلقِياهُ فِي العَذابِ الشَّديدِ Aliye weka mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu. Basi mtupeni katika adhabu kali.