67الأَخِلّاءُ يَومَئِذٍ بَعضُهُم لِبَعضٍ عَدُوٌّ إِلَّا المُتَّقينَ Siku hiyo marafiki watakuwa ni maadui, wao kwa wao, isipo kuwa wachamngu.