50قالوا أَوَلَم تَكُ تَأتيكُم رُسُلُكُم بِالبَيِّناتِ ۖ قالوا بَلىٰ ۚ قالوا فَادعوا ۗ وَما دُعاءُ الكافِرينَ إِلّا في ضَلالٍ Nao watasema: Je! Hawakuwa wakikufikieni Mitume wenu kwa hoja zilio wazi? Watasema: Kwani? Watasema: Basi ombeni! Na maombi ya makafiri hayawi ila ni kupotea bure.