66بَلِ اللَّهَ فَاعبُد وَكُن مِنَ الشّاكِرينَ Bali muabudu Mwenyezi Mungu tu, na uwe miongoni mwa wenye kushukuru.