56جَهَنَّمَ يَصلَونَها فَبِئسَ المِهادُ Nayo ni Jahannamu! Wataingia humo. Nacho hicho ni kitanda kiovu mno cha kulalia.