40وَإِنَّ لَهُ عِندَنا لَزُلفىٰ وَحُسنَ مَآبٍ Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea.