53أَإِذا مِتنا وَكُنّا تُرابًا وَعِظامًا أَإِنّا لَمَدينونَ Ati tukisha kufa tukawa udongo na mafupa, ndio tutalipwa na kuhisabiwa?