27بِما غَفَرَ لي رَبّي وَجَعَلَني مِنَ المُكرَمينَ Jinsi Mola wangu Mlezi alivyo nisamehe, na akanifanya miongoni mwa walio hishimiwa.