20وَجاءَ مِن أَقصَى المَدينَةِ رَجُلٌ يَسعىٰ قالَ يا قَومِ اتَّبِعُوا المُرسَلينَ Na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mjini, akasema: Enyi watu wangu! Wafuateni hawa walio tumwa.