38وَالَّذينَ يَسعَونَ في آياتِنا مُعاجِزينَ أُولٰئِكَ فِي العَذابِ مُحضَرونَ Na wanao jitahidi kuzipinga Ishara zetu, wakaona watashinda, hao watahudhurishwa kwenye adhabu.