26لِلَّهِ ما فِي السَّماواتِ وَالأَرضِ ۚ إِنَّ اللَّهَ هُوَ الغَنِيُّ الحَميدُ Ni vya Mwenyezi Mungu vyote viliomo mbinguni na katika ardhi. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mkwasi, Mwenye kusifiwa.