85وَوَقَعَ القَولُ عَلَيهِم بِما ظَلَموا فَهُم لا يَنطِقونَ Na kauli itawaangukia juu yao kwa vile walivyo dhulumu. Basi hao hawatasema lolote.