13فَلَمّا جاءَتهُم آياتُنا مُبصِرَةً قالوا هٰذا سِحرٌ مُبينٌ Basi zilipo wafikia Ishara zetu hizo zenye kuonyesha, wakasema: Huu ni uchawi dhaahiri.