83رَبِّ هَب لي حُكمًا وَأَلحِقني بِالصّالِحينَ Mola wangu Mlezi! Nitunukie hukumu na uniunganishe na watendao mema.