67إِنَّ في ذٰلِكَ لَآيَةً ۖ وَما كانَ أَكثَرُهُم مُؤمِنينَ Hakika bila ya shaka katika hayo ipo Ishara; lakini wengi wao si katika wenye kuamini.