168قالَ إِنّي لِعَمَلِكُم مِنَ القالينَ Akasema: Hakika mimi ni katika wanao kichukia hichi kitendo chenu.