16فَأتِيا فِرعَونَ فَقولا إِنّا رَسولُ رَبِّ العالَمينَ Basi mfikieni Firauni na mwambieni: Hakika sisi ni Mitume wa Mola Mlezi wa walimwengu wote.