119فَأَنجَيناهُ وَمَن مَعَهُ فِي الفُلكِ المَشحونِ Kwa hivyo tukamwokoa yeye na walio kuwa pamoja naye katika marikebu iliyo sheheni.