92عالِمِ الغَيبِ وَالشَّهادَةِ فَتَعالىٰ عَمّا يُشرِكونَ Mjuzi wa siri na dhaahiri, na ametukuka juu ya hayo wanayo mshirikisha nayo.