30إِنَّ في ذٰلِكَ لَآياتٍ وَإِن كُنّا لَمُبتَلينَ Hakika katika hayo yapo mazingatio. Na kwa yakini Sisi ni wenye kuwafanyia mtihani.