102فَمَن ثَقُلَت مَوازينُهُ فَأُولٰئِكَ هُمُ المُفلِحونَ Ama wale ambao mizani zao zitakuwa nzito, hao ndio wenye kufanikiwa.