68وَإِن جادَلوكَ فَقُلِ اللَّهُ أَعلَمُ بِما تَعمَلونَ Na wakikujadili basi sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi mnayo yatenda.