57وَالَّذينَ كَفَروا وَكَذَّبوا بِآياتِنا فَأُولٰئِكَ لَهُم عَذابٌ مُهينٌ Na walio kufuru na kuzikanusha Ishara zetu, basi hao watapata adhabu ya kufedhehesha.