93وَتَقَطَّعوا أَمرَهُم بَينَهُم ۖ كُلٌّ إِلَينا راجِعونَ Nao wakalikata jambo lao hili mapande mapande baina yao. Wote watarudi kwetu.