72وَوَهَبنا لَهُ إِسحاقَ وَيَعقوبَ نافِلَةً ۖ وَكُلًّا جَعَلنا صالِحينَ Naye tukampa Is-haq, na Yaaqub kuwa ni ziada. Na wote tukawajaalia wawe watu wema.