100لَهُم فيها زَفيرٌ وَهُم فيها لا يَسمَعونَ Lao wao humo ni kupiga mayowe, na wala hawatasikia (jenginelo).