57قالَ أَجِئتَنا لِتُخرِجَنا مِن أَرضِنا بِسِحرِكَ يا موسىٰ Akasema: Ewe Musa! Hivyo umetujia kututoa katika nchi yetu kwa uchawi wako?