105وَيَسأَلونَكَ عَنِ الجِبالِ فَقُل يَنسِفُها رَبّي نَسفًا Na wanakuuliza khabari za milima. Waambie: Mola wangu Mlezi ataivuruga vuruga.