85يَومَ نَحشُرُ المُتَّقينَ إِلَى الرَّحمٰنِ وَفدًا Siku tutayo wakusanya wachamngu kuwapeleka kwa Arrahmani Mwingi wa Rehema kuwa ni wageni wake.